WIKI YA MWISHO WA MWEZI
Ikiwa ni jumatatu ya mwisho kwa mwezi huu wa Machi, pilika zimeanza. Wengi wiki hii wakijiandaa kwa manunuzi kabla ya sikukuu ya Pasaka. Nawatakia utafutaji mwema. Hakuna kukata tamaa katika kutafuta...
View ArticleMHE. RAIS KIKWETE SAFARINI MAREKANI
Mhe. Rais Kikwete amewasili nchini Marekani kufungua rasmi jengo la ghorofa sita la Ofisi za Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja wa Mataifa jijini New York, MarekaniMwonekano wa Jengo hilo
View ArticleMICHEZO YA WATOTO INAYOKUZA UMOJA NA UPENDO
Michezo kama hii ya watoto katika baadhi ya jamii zetu hasa waliotawaliwa na utandawazi wanaiona kama upuuzi. Lakini Michezo hii inakuza akili, inaburudisha, inaleta umoja na upendo kutokana na...
View ArticleUCHAGUZI WA RAIS NIGERIA: Muhammadu Buhari AONYESHA KUONGOZA KURA
Wananchi wa nchi ya Nigeria wamepiga kura jumamosi na jpili wiki ilopita kumchagua raisi wa nchi yao. Waliokuwa na uvutano mgumu ni Rais wa sasa Goodluck Jonathan na mpinzani wake Muhammadu Buhari....
View ArticleKUKU
I've never EVER thought this was possible! ***SHARE***Posted by KQ 103 on Friday, 18 April 2014
View ArticleKIKAO CHA BUNGE DODOMA CHAHAIRISHWA
Kikao cha Bunge kimevunjika muda mfupi uliopita baada ya kutokea vurugu za maneno kufuatia wapinzani kutaka Waziri Mkuu atoe taarifa juu ya mwenendo wa kura ya maoni ya katiba mpya April...
View ArticleMATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS NCHINI NIGERIA
Mgombea wa upinzani nchini Nigeria Muhammadu Buhari ameibuka mshindi wa kiti cha urais dhidi ya Rais Goodluck Jonathan katika uchaguzi uliofanyika Jumapili nchini humo.Kwa mujibu wa Reuters, Mhe....
View ArticleUJUMBE KATIKA BIASHARA
Nadhani katika pita pita zako ulishawahi kukutana na maneno kama haya. Kweli biashara ubunifu na vijimambo ndani Na hapa je mbona utapenda mwenyewe. Kweli tuna kazi kutengeneza maisha bora kwa kila...
View ArticleGARISSA NCHINI KENYA KATIKA HATI HATI TENA.
Watu 17 wamepoteza maisha huku takribani 30 wakijeruhiwa baada ya watu wapatao watano wanaodaiwa kufunika nyuso zao kushambulia Chuo Kikuu cha Garrissa kilichopo Kaskazini mashariki mwa Kenya.Shambulio...
View ArticleVIONGOZI WA WILAYA YA KINONDONI WAHAMASISHA UPANDAJI MITI MABWEPANDE
SERIKALI imesema waathirika wa mafuriko ya mto Msimbazi walioondoka baada ya kupewa viwanja maeneo ya Mabwepande na kurudi eneo la Msimbazi watanyang’anywa viwanja hivyo.Kauli hiyo ilitolewa na Mkuu wa...
View ArticleMWALIMU NYERERE AENZIWA HUKO MOSHI-KILIMANJARO
Viongozi wa CCM Taifa wamekuwa Mkoani Kilimanjaro kwa siku 9 kuhagua shughuli na uhai wa chama hicho. Walipokuwa Mjini Moshi walikutana na Gari alilotumia Mwalimu Nyerere katika kipindi cha uhai wake...
View ArticleBASATA YAPIGA MARUFUKU "DISKO TOTO"
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambalo ni msimamizi wa sekta ya Sanaa na burudani nchini linawakumbusha wamiliki na waendeshaji wa kumbi za burudani kufuata sheria, kanuni na taratibu walizopewa...
View ArticleIJUMAA KUU
Wakristo pote duniani leo wameungana kukumbuka mateso na kifo cha Yesu anayekadiriwa kufa tar 7 April 30 nje kidogo ya Mji wa Jerusalem. Ibada mbalimbali za kukumbuka mateso na kifo chake yamefanyika...
View ArticleANATAFUTWA: KUFUATIA MAUAJI YA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU HUKO GARISSA KENYA
Ripoti za hivi punde zasema kuwa zaidi ya watu 147 wameuawa katika shambulio hili. Hii ni zaidi ya unyama jamani. Binadamu wanakosa kuona thamani ya uhai wa binadamu mwenzao tena hasa hawa wanafunzi...
View ArticlePRESIDENT KIKWETE VISITS THE BILL GATES FOUNDATION AND BOEING PLANT IN SEATTLE
Rais Kikwete na ujumbe wake wakifanya kikao kifupi na mhe.Bill Gates na jopo lake katika office yao huko Seattle USA.Rais Jakaya Mrisho Kikwete ana ujumbe wake watembelea Kiwanda cha kutengeneza ndege...
View ArticleMTANZANIA ATIA DOA SAKATA LA MAUAJI GARISSA KENYA
Mtanzania mmoja ambaye hajafahamika amekamatwa kuhusiana na shambulio la kigaidi katika Chuo Kikuu cha Garissa, Kenya.Taarifa zilizopatikana jana usiku na kutangazwa na Shirika la Utangazaji la...
View ArticleWANAMEREMETA> Mhe.REGINALD MENGI NA JACQUELINE MISS TZ 2000
Baada ya Kupata watoto mapacha wa kiume na kuwa katika mahusiano kwa muda, Mhe Reginald Mengi ameamua kuweka vitu hadharani kwa kufunga ndoa na mwandani wake Bi.Jacqueline, ndoa inayosemekana kufungwa...
View Article