ZITTO HUYOOOOOOO....ACT
Baada ya kujiengua rasmi kutoka CHADEMA wiki ilopita, mhe.Zitto aonekana kuingia rasmi ACT.
View ArticleMGOGORO WA MAGARI YA KITALII NA SAFARI ZA NDEGE KATI YA KENYA NA TANZANIA...
Imekubaliwa sasa kuwa ni ruksa magari ya kubeba watalii kutoka Tanzania kuingia katika Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta, ambapo hapo awali walizuiwa. Pia safari za Ndege la Shirika la ndege la Kenya...
View ArticleKUMBUKUMBU
Mmiliki wa Blog hii anaungana na familia na Ukoo wa Mwangoka kumkumbuka Baba Mzazi Mzee Amedeus Mwangoka aliyetutoka tar.23.03.2009 siku ya Jumatatu kama leo katika Hospitali ya Kibosho-Moshi....
View ArticleKERO YA MVUA ZAINAZONYESHA JIJINI DAR NA KWINGINEKO NCHINI
(Picha ya juu kwa hisani ya Global Publishers)HALI ni tete katika jiji la Dar es Salaam, kutokana na mvua ya masika iliyonyeshwa kwa siku tatu na kusababisha vifo vya watu watano, huku nyumba nyingi...
View ArticleHAPA HAKUNA LELE MAMA
Hiyo ndo inayoitwa...Heshimaaaaaa TOA!KATIKA HATUA NYINGINE........Rais Jakaya Kikwete amelikata Jeshi la Polisi nchini kujiandaa kikamilifu ili kukabiliana na vurugu zozote zitakazojitokeza wakati wa...
View ArticleKUSAKA MAISHA
amoja na kujitahidi kusaka maisha, ila pia tunapotumia vifaa hivi tutazamame na usalama wa maisha yetu.
View ArticleAJALI MBAYA YA NDEGE YA UJERUMANI
Ndege ya abiria inayomilikiwa na shirika la ndege la Germanwing Airbus A320 Imeanguka katika milima ya Alps nchini Ufaransa.Ndege hiyo ilikuwa imewabeba abiria 142 na wahudumu 6 ikitoka Barcelona...
View ArticleUVUTAJI WA SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO NA YA JAMII
Pamoja na kwamba baadhi ya watu wamejiingiza katika uvutaji wa sigara kama mojawapo ya starehe zao, lakini utafiti wa kitaalamu unaonyesha kuwa Uvutaji wa sigari ni hatari kwa afya yako (Huaribu...
View ArticleMHE. RAIS KIKWETE ATEUA WABUNGE WAWILI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amewateua wabunge wawili (2) wapya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Walioteuliwa ni Dkt. Grace Khwaya Puja na Bwana...
View ArticleHIZI LIFT JAMANI....
Unapompa mtu lift kwenye gari lako ni kitendo cha huruma na kawaida ukarimu wa kitanzania, lakini uwe makini kuangali kama abiria wako uliyempa lift amefunga mkanda vizuri, wengine hawajui na hivyo...
View ArticleUMUHIMU WA KUWA MAKINI UNAPOTUMIA VYOMBO VYA MOTO
Ina maana madreva hawa hawapo makini katika makutani ya reli na Barabara au ni dharau???Lori la Mizigo lilipoiginga Treni karibu na Machinga Compelex Jijini Dar leo.
View ArticleNAWATAKIA JUMAPILI YA MATAWI NJEMA
Kwa wale Wakristo, jumapili ya leo ni adhimisho la Jumapili ya Matawi kukumbuka Yesu alipoingia Jerusalem kwa shangwe kabla ya kuteswa kufa na kufufuka. Ni wiki ya maadhimisho makuu kuelekea Pasaka.
View Article