$ 0 0 Tayari imepita miaka 3 tangu nguli huyu wa Movie nchini atutoke ghafla. Hakika tumepoteza mtu muhimu ambaye alikuwa anang'arisha tasnia ya Filamu nchini,kuibua na kukuza vipaji vya wengi. Mungu akulaze palipo pema Kanumba.