Mheshimiwa Godfrey Mgimwa (MB) akila kiapo hapo jana 6 Mei,2014 Bungeni Dodoma. Huyu ameshinda kwa tiketi ya CCM Jimbo la Kalenga
Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete (MB) akila kiapo hapo jana 6 Mei,2014 Bungeni Dodoma. Huyu ameshinda kwa tiketi ya CCM Jimbo la Chalinze