MWEMBE WA MUUNGANO NAO WATIMIZA MIAKA 50
Wakati wa Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar tarehe 26 Aprili 1964, Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Rais wa Zanzibar Abeid Amaan Karume ambao sasa wote ni marehemu,...
View ArticleKANISA KATOLIKI LAPATA WATAKATIFU WAPYA WAWILI LEO
Papa John Paul II aliwahi kutembelea Tanzania mwaka 1990
View ArticleFAHARI ZA TANZANIA
Nawatakia wadau mwanzo mwema wa wiki na pia kila la kheri kwa wiki nzima
View ArticleALIYETUNGA JINA LA TAIFA "TANZANIA"
Ndg. Mohammed Iqbal Dar (Picha na maelezo kwa hisani ya DjSeki Blog)Nimeona niwafahamishe hili huenda likatusaidia hasa kwa hivi sasa wakati tukisherekea miaka 50 Muungano, najua wengi wetu hatujui...
View ArticleAIRTEL YATANGAZA WHATSAPP,FACEBOOK NA TWITTER BUREEEEEE
Kwa maelezo zaidi soma vipeperushi.......
View ArticleUJUMBE WA LEO
Hii ni baada ya mchezaji wa Barcelona Dani Alves kutupiwa ndizi akiwa uwanjani kisha akaamua kuiokota kuimenya na kuila kama anavyoonekana pichani
View ArticleSHEREHE ZA MEI MOSI ZAFANA
Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakipita ya mgeni wa heshima Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Eng.Evarist Welle Ndikilo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi mkoa wa Mwanza ,matembezi hayo...
View ArticleDIAMOND PLATNUMZ AKIFURAHIA TUZO 7 ZA KTMA 2014
Maneno ya Diamond: "Mda mwingine nakosa maneno ya kuzungumza kuonyesha shukrani zangu kwa nyie mashabiki wangu mlioniwezesha ushindi wa hizi tuzo zote,ila neno moja tu napenda niseme, AHSANTENI,NAAHID...
View ArticleANZA WIKI KWA KUFANYA NDOTO ZAKO KUWA KWELI
Pamoja na mawazo mazuri ya kibunifu ya kufanya maisha yasonge mbele, usibaki umelala ila amka yafanyie kazi na yatakupa jawabu zuri. Juhudi muhimu katika kutekeleza ndoto zetu njema.
View ArticleHAWA NDO WALIONYAKUA TUZO KTMA2014
1. WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA TANZANIA - Bora Mchawi, Dar Bongo Massive2. MSANII BORA CHIPUKIZI ANAYEIBUKA - Young Killer 3. WIMBO BORA WA ZOUK - Yahaya, Lady Jaydee4. WIMBO BORA WA AFRO POP...
View ArticleBUNGE LA BAJETI KUANZA LEO
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo linaanza kikao chake cha Bajeti, ambapo muda wa kuchangia na kuwasilisha bajeti za wizara mbalimbali, umepunguzwa.Katika mkutano wake na waandishi wa...
View ArticleHATIMAYE WABUNGE WAPYA WAAPISHWA
Mheshimiwa Godfrey Mgimwa (MB) akila kiapo hapo jana 6 Mei,2014 Bungeni Dodoma. Huyu ameshinda kwa tiketi ya CCM Jimbo la KalengaMheshimiwa Ridhiwani Kikwete (MB) akila kiapo hapo jana 6 Mei,2014...
View ArticleBAADHI YA KERO WAZIPATAZO WANANCHI
Hizi taka zipo pembezoni mwa barabara kuu ambapo pia kwa mbali pale wanaonekana wachuuzi wa biashara ya chakula maarufu kama "Mama Ntilie". Ila hii sio salama kwa afya. Mamlaka husika ni vema kutupia...
View ArticlePICHA YA SIKU
Tazama huyu mtoto anavyowajibu hawa askari. Chezea watoto wa digitali wewe!Police: Where do you live?( Unaishi wapi?) Small boy: with my parents.( Pamoja na wazazi wangu)Police: Where do your parents...
View ArticleMAMA WA KIAFRIKA
Kwakweli mama zetu mnapata adha kubwa. Hongereni kwa uvumilivu na juhudi binafsi.
View ArticleNIGERIA HAPATOSHI
Kufuatia tukio la hivi karibuni la wasichana zaidi ya 200 kutekwa nchini Nigeria na kutokomea kusikojulikana, Mataifa na watu mbalimbali wameingilia kati harakati za kuwatafuta. Marekani imetuma kikosi...
View Article