SERENGETI BOZS U17 WAYIDI KUCHANJA MBUGA
Timu ya Taifa ya Vijana ya Serengeti Boys ambayo ipo Gabon sasa hivi inakogombea Ubingwa wa Afrika kwa Umri wa Miaka 17 na inaongoza kwenye kundi lake kwa Magoli 2 na Point 3, baada ya jana kuishinda...
View ArticleMHE RAIS YOWERI MUSEVENI AWA MWENYEKITI MPYA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI EAC
Rais John Magufuli jana (Jumamosi) amemkabidhi rasmi uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kwa Rais Yoweri Museveni.Muda mfupi kabla ya kumkabidhi nafasi hiyo, Rais Magufuli ambaye alikuwa...
View ArticleMKATABA UJENYI WA BOMBA LA MAFUTA HOIMA UGANDA HADI TANGA TANZANIA WASAINIWA
Marais waheshimiwa Yoweri Museveni wa Uganda na John Magufuli wa Tanzania wakisiani Mkataba huoMaraisi hao wakipeana mkono wa pongeyi na shukrani kwa ushirikiano huo baada za kusaini mkatabaKikao cha...
View ArticleBASATA LALAANI KITENDO CHA PICHA ZISIZO NA MAADILI ZA BEN POL
Jamii za Tanzania inabidi ifike mahali iachane na mambo ya kuiga,hasa tabia yisiyoendana na maadili ya Mtazania. Pengine wanaiga bila kujua, ila wengi wanajua wanachofanya na wakati mwingine wanafanya...
View ArticleBREAKING NEWZ......WATU 19 WAUAWA KATIKA TUKIO LA KIGAIDI HUKO MANCHESTER...
Watu 19 wameuwawa na wengine zaidi ya 50 wamejeruhiwa katika tukio linashukiwa kuwa ni shambulizi la kigaidi katika ukumbi wa Manchester Arena.Mlipuko huo umetokea usiku wa jana wakati wa tamasha la...
View ArticleHOT NEWZ.......MHE PROFESA MUHONGO AACHISHWA UWAZIRI
IKULU: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo ambapo uteuzi wa kujaza nafasi yake utafanyika baadaye.
View ArticleTANZIA......MUME WA ZAMANI WA ZARI THE BOSS AFARIKI DUNIA
Marehemu Ivan Don Marehemu Mume wa zamani wa Zari, Mke wa sasa wa Diamond Platnumz.Leo May 25, 2017 zimeripotiwa taarifa za kifo cha Ivan Semwanga “Ivan Don” mfanyabiashara maarufu kutoka nchini uganda...
View ArticleNAWATAKIA NDUGU ZETU WAISLAM MFUNGU MWEMA WA MWZI MTUKUFU WA RAMADHAN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa risala ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kwa Wananchi wa Zanzibar na Tanzania kwa Ujumla na kuwatakia kheri katika...
View ArticleUTEUZI WA IGP
Aliyekuwa Kamishna wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Simon Sirro.Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Mei, 2017 amemteua Kamishna wa Polisi Simon...
View ArticleALIYEBUNI NA KUCHORA NEMBO ZA TAIFA AFARIKI DUNIA
Mzee Francis Maige Kanyasu maarufu kama "Ngosha" aliyedai kuwa yeye ndiye mchoraji wa nembo ya Taifa amefariki dunia akiwa anapatiwa matibabu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, leo akiwa na umri...
View ArticleWABUNGE WA UPINZANI WASUSIA BUNGE NA KUTOKA NJE
MHE MBUNGE LIVINGSTONE LUSINDE ALICHOONGEA NA KISHA KUZUSHA MJADALAMbunge Mhe.John Mnyika atolewa nje ya Bunge kwa amri ya Spika Job Ndugai na kuamriwa kutohudhuria vikao kwa siku 7 baada ya kutokea...
View ArticleMHE MAMA ANNA MGHWIRA (ACT) ATEULIWA KUWA MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO
IKULU: Rais Magufuli amemteua Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, mama Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro akijaza nafasi ya Said Meck Sadick aliyejiuzulu
View ArticleREAL MADRID WALIVYORUDI NYUMBANI KWA SHANGWE BAADA YA KUTWAA KOMBE LA UEFA
Usiku wa June 3 2017 katika uwanja wa Millenium jiji la Cardiff nchini Wales Real Madrid waliandika historia mpya katika uwanja huo baada ya kufanikiwa kutwaa taji lao la 12 la UEFA Champions League...
View ArticleTANZIA: R.I.P Dr.Phillemon Ndesamburo
Alokuwa Mbunge wa Moshi Mjini (CHADEMA)Mhe.Phillemon Ndesamburo amefariki wiki ilopita na mazishi yake kufanyika huko KDC Moshi. Alikuwa mmoja wa waasisi wa Chama cha Upinzani CHADEMA
View Article