BAJETI YA SERIKALI 2017/2018 YASOMWA LEO BUNGENI
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango ametangaza kufutwa rasmi kwa ada ya mwaka ya leseni ya magari. Amesema uamuzi umechukuliwa ili ada hii ilipwe mara moja pale gari linaposajiliwa na baada ya...
View ArticleORODHA ZA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA SITA NA VYUO VYA UFUNDI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Tamisemi) George Simbachawene ametoa idadi ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha tano na vyuo vya ufundi kwa mwaka 2017 huku jumla ya wanafunzi...
View ArticleMHE MAGUFULI NI RAIS WA WATANZANIA WOTE BILA KUJALI ITIKADI
MWENYEKITI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Mgwira, ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro kwa kile kilichoelezwa kuwa ni “mkosoaji mwenye faida” na kwamba Rais John Magufuli bado ana nafasi kwa...
View ArticleBASI LA BATCO LATEKETEA KWA MOTO HUKO MKOANI MARA
Basi la BATCO lenye namba za usajili T192DHW likiteketea kwa moto hii leo katika eneo la Kirumi kata ya Bukabwa Wilayani Butama Mkoani Mara, gari hilo lilikuwa linafanya safari zake kutoka...
View ArticleZANZIBAR YATANGAZWA KWA KUPITIA MABASI HUKO LONDON UINGEREZA
Kwa siku mbili mfululizo sasa mabasi ya jiji la London yamekuwa yakibeba tangazo ya shirika la ndege la Uturuki ambalo linapigia debe kituo chake kipya cha safari ya ndege zake “Zanzibar*.
View ArticleMHE RAIS MAGUFULI AKUTANA NA WAKUU WA MIKOA ZOTE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikutana na wakuu wa mikoa wote katika kikao kilichohudhuriwa pia na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim...
View ArticleMHE RAIS MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI WA BARRICK
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John L. Thornton mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini...
View ArticlePRECISION AIR KUANZA SAFARI ZA HADI MBUGANI SERENGETI
Shirika la Ndege la Precision Air linatarajiwa kuazia Oktoba 1, 2017 kuanza kutua katika kiwanja cha Seronera ,katika Mbuga kubwa ya Serengeti
View ArticleBIASHARA YA MKAA BADO IMESHAMIRI
Pamoja na tatizo kubwa la uharibu wa misitu na mazingira, biashara ya mkaa imeendelea kushamiri hasa maeneo ya Mijini.Hapa chini ni Biashara ya mkaa maeneo ya Kigogo Fresh nje kidogo ya Jiji la Dar es...
View ArticleMHE.RAIS MAGUFULI AZINDUA KIWANDA CHA KUUNGANISHA MATREKTA CHA TAMCO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amezindua kiwanda cha kuunganisha matrekta cha Ursus na kiwanda cha Nondo cha Kiluwa ambapo amewataka wawekezaji kujitokeza kwa wingi kwani...
View ArticleMHE RAIS MAGUFULI AFUNGUA RASMI BARABARA ZA BAGAMOYO/MSATA 64KM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe pamoja Mama Salma Kikwete (Mb), Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Profesa Norman Sigala, Waziri wa...
View ArticleMhe RAIS MAGUFULI AFUTARISHA KIBAHA
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika foleni ya kunawa na kisha kuchukua chakula leo Jumatano Juni 21, 2017 katika futari aliyowaandalia wananchi wa mkoa wa Pwani...
View Article