AJALI YAUA IRINGA
Pamoja na ajali za barabarani kuendelea kupoteza maisha ya watu, lakini pia kuna tabia inayoletwa na matumizi mabaya ya utandawazi. Ukiitazama picha hiyo ambapo pikipiki iligoganga na Lori Fuso na...
View ArticleUDAKU: DIAMOND NA ZARI
Diamond Platnumz sasa aingia katika hatua nyingine ya mapenzi. Bada ya kumwagana na Wema Sepetu kwa mara ya pili, sasa habari za uhakika zinasema ndo tayari kashajipatia huyu Boss Lady Zari. Hii...
View ArticleCOCA COLA NA MAMBO YAKE
Baada ya uvumbuzi huu wa kuburudika Coca na.... basi kila mtu anahangaika jina lake lionekane katika makopo ya Coca. Ila jiulize umefanya nini kustahili hayo. Mwenzio aliyetengeneza Coca alikaa chini...
View ArticleJOTI NA PETE YA UCHUMBA
Hatimaye mchekeshaji wa Kundi la Orijino Komedi,Lukas Mhuville alimaarufi kama Joti, hivi karibuni amevunja ukimya kuelekea kwenye ndoa kwa kumvisha pete ya Uchumba mpenzi wake wa muda mrefu. Tukio...
View ArticleJAY MILILIONS YA VODACOM YAPATA MSHINDI IRINGA
Hapa unaweza sema amtumainie Mungu hataaibika. Dada huyu Uwezo Magendenge (22) aliyejishindia shilingi Milioni 100. Nadhani atazitumia vizuri kuboresha maisha yake na wazazi wake/Familia yake. Hongera...
View ArticleZIARA YA RAIS WA UJERUMANI NCHINI TANZANIA
Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck yupo nchini kwa ziara ya siku Tano.Akisalimiana na Askofu Dk.Malasusa wa KKKT alipotembelea kanisa la Azania Front Dar es SalaamAkisalimiana na Mhe,Rais Kikwete...
View ArticleTANZANIA YAADHIMISHA SIKU YA SHERIA DUNIANI
Mhe. Rais Kikwete akihudhuria siku ya sheria duniani Jijini DarJaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman akitoa hutuba katika kilele hichoHili ni moja ya jengo la mahakama ambapo ndiyo...
View ArticleUSHIRIKIANO WA MAZIWA MAKUU TANZANIA NA MAREKANI
Umoja wa Maziwa Makuu wa Marekani na Tanzania umepania kushirikiana katika mambo mengi ya msingi katika ya nchi hizi mbili.
View ArticleTANZANIA KUBADILISHANA WAFUNGWA NA NCHI ZA MAURITIUS NA THAILAND
SERIKALI ya Tanzania imeingia mkataba wa kubadilishana wafungwa kwa nchi za Thailand na Mauritius ambapo hadi sasa Tanzania imeweza kupokea wafungwa kumi kutoka nchi hizo kutekeleza mkataba huo.Hayo...
View ArticleUDAKU
Katika mikoa ya Tanzania, kwa Tanga hii tutasema ni mahaba ya dhati ambayo ni kawaida tu yapo damuni ila kwa mikoa mingine tutaita Limbwata. Je wewe wasemaje mdau?
View ArticleUJASIRIAMALI
Ujasiriamali popote vyovyote. We shangaa tu mwenzio anajipatia kipato na kukidhi maisha yake. Maisha yanasonga mbele.
View ArticleTASWIRA UWANJA WA ZAMANI NA MPYA WA TAIFA
Taswira ikionyesha uwanja wa zamani wa mpira wa miguu jijini Dar es Salaam ujulikanao kama Uwanja wa Uhuru ukiwa umeanza kukarabatiwa paa lake. Na kulia ni Uwanja mpya wa Mpira wa Miguu
View ArticleNAWATAKIA JUMAPILI NJEMA
Usalipo usisahau kuwa Imani bila matendo imekufa. Unapomwomba Mungu jambo usisubiri muujiza, nawe fanya bidii na mungu atabariki juhudi zako.
View ArticleHUU NDIO UWAJIBIKAJI WETU
Wakati mwingine inakuwa kama dharau kazini au kufanya kazi kwa mazoea tu. Staili hii ya hawa watumishi sio sahihi katika hasa wanapokuwa eneo la kazi. Linapotokea la kutokea unakuta hata hawajiandaa na...
View ArticleIVORY COAST MABINGWA CAF 2015
Timu ya Taifa ya Ivory Coast imeshinda kombe la Mataifa ya Afrika baada ya kuitoa hana kwa mikwaju 11 kwa 10. Mkwaju wa ushindi ulitiwa golini na mlinda mlango wa Ivory Coast. Ilikuwa ni mechi ya...
View Article