KHERI YA MWAKA MPYA 2015
Napenda kuungaana na wadau wapendwa wa blog hii kumshukuru kwa kutuwezesha kuuona Mwaka Mpya 2015. Tunazidi kumwomba Mungu atuongoze kwa mwaka huu wote ili tuweze kutimiza majukumu na matarajio yetu...
View ArticleELIMU HAINA MWISHO
Bibi huyu mkazi wa Kenya kaamua kurudi shule ili kujifunza kusoma na kuandika. Hakuna kuchelewa katika kujifunza jambo jipya
View ArticleKUMEKUCHA....MHE WAZIRI SOSPETER MUHUNGO ATANGAZA KUJIUZULU
Kwa habari zaidi soma michuzi Blog
View ArticleMABADILIKO: UTEUZI WA MAWAZIRI NA MANAIBU
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amebadili mawazini na naibu mawaziri Ikulu jana.Akitangaza mabadiliko ya mawaziri hao jana, Katibu Mkuu Kiongozi wa Ofisi ya Rais, Sifue Ombeni alitaja mawaziri hao...
View ArticleZAMBIA YAPATA RAISI MPYA
Rais mpya wa Zambia Mhe. Edgar Lungu akila kiapo kushika hatamu baada ya bnafasi ya urais kuachwa wazi kufuatia kifo cha Rais Sata.
View ArticleMJUE MWANASHERIA MKUU MPYA WA SERIKALI
Mwanasheria Mkuu mpya wa Serikali ya Tanzania mhe.George Masaju akila kiapo katika ukumbi wa Bunge hii leo baada ya Jaji Werema kujiuzuluSpika wa Bunge mhe. Anna Makinda aiingia katika Ukumbi wa Bunge...
View ArticleDHARAU NYINGINE JAMANI UUUH......
TUJIFUNZE KUMUHESHIMU KILA MTU HATA KAMA UNA MALI NYINGI KIASI GANI IPO SIKU NA WEWE UTAKOSA -Wadau tukumbuke hali ya maisha huweza kubadilika wakati wowote.Leo waweza kuwa tajiri lakini kesho ukawa...
View ArticleMWEZI JANUARI UNATISHA
Kutokana na matumizi mengi ya kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka 2014, na majukumu mengi ya mwanzo wa mwaka, wengi pochi zao zipo tupu, Tarehe zza mwezi hu zinavyosogea, ni kama vile wanatamani...
View ArticleNIMESHINDWA KUCHEKA NIMESHINDWA KULIA
Kitendawili cha maisha Bora kwa kila mtanzania kinapokosa majibu. Kwakweli bado tuna safari ndefu....
View ArticleUSAFIRI WA UHAKIKA NA WA RAHA
Mabasi ya Kampuni ya SHABIBY yameendelea kushika kasi kwa usafiri mzuri wa DAR/DODOMA/DAR
View ArticleVITUKO VYA WADADA WA KAZI
Wazazi ni muhimu kuwa makini sana na hawa wasaidizi. Utakuwa unashangaa mwanao kila siku malaria na net ulinunua. Mwezio dada wa kazi ndo anaitumiaHalafu usishangae hali hii inaweza kupelekea mambo...
View ArticleMHE. RAIS KIKWETE ZIARANI UFARANSA
Akikagua kwaride la heshima Ikulu ya Ufaransa, na pia akisalimia na Rais wa Ufaransa Mhe. Francois Hollande
View ArticleRAIS ROBERT MUGABE MWENYEKITI MPYA WA AU
Umoja wa Nchi za Africa (AU) umemteua mhe. Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe kuwa mwenyekiti mpya wa Umoja huo katika kikao kinachoendelea huko Addis Ababa Ethiopia. Na hapa ni Mhe.Rais Kikwete akiwa...
View ArticleMSONGAMANO WA MAGARI BARABARANI DAR
Hili sasa limekuwa tatizo kubwa. Watu siku hizi Dar wanatumia muda mwingi barabarani kuliko maofisini, kwenye biashara,shuleni na hata nyumbani. Msongamano umezidi. Serikali tupieni macho jambo hili...
View ArticleNAWATAKIA JUMAPILI NJEMA
Huyu jamaa ingependeza sana kama angekuwa amedandia hii daladala hivi ili kuwahi Kanisani kumwabudu Mungu leo.
View Article