$ 0 0 Umoja wa Nchi za Africa (AU) umemteua mhe. Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe kuwa mwenyekiti mpya wa Umoja huo katika kikao kinachoendelea huko Addis Ababa Ethiopia. Na hapa ni Mhe.Rais Kikwete akiwa katika kikao hicho huko Addis Ababa Ethiopia