$ 0 0 Hili sasa limekuwa tatizo kubwa. Watu siku hizi Dar wanatumia muda mwingi barabarani kuliko maofisini, kwenye biashara,shuleni na hata nyumbani. Msongamano umezidi. Serikali tupieni macho jambo hili pamoja na juhudi kbwa zinazoendelea hadi sasa.