MSHUKIWA WA MAUAJI YA WAUMINI 9 KANISANI HUKO MAREKANI APANDISHWA KIZIMBANI LEO
Mshukiwa wa mauaji ya kanisani nchini Marekani ameshtakiwa na mashtaka tisa ya mauajiMshukiwa wa mauaji ya watu tisa katika kanisa la kihistoria la Kiafrika katika mji wa Charleston ameshtakiwa na...
View ArticleHAPPY FATHER'S DAY
Siku hii itukumbushe kusaidiana majukumu pale inapowezekana sio kuachia malezi mtu mmoja katika familia. Hongereni kina baba wote mnaojitahidi katika hilo.Mkazi wa Jiji la Dar es salaam, Saidi...
View ArticleTASWIRA YA TAZARA FLYOVER KATIKA VIDEO
Tazama hapa video ya namna Flyover ya Tazara itakavyokuwa baada ya ujenzi kukamilika/
View ArticleAZAM MARINE WAINGIZA BOTI MPYA "KILIMANJARO V"
Baada ya kuingiza Boti ya Kilimanjaro IV ambayo imekuwa ni kivutio cha usafiri kati ya Zanzibar na Dar es Salaam, Kampuni ya Azam Marine ya mheshimiwa Bhakhresa sasa imeingiza Boti nyingine mpya...
View ArticleJE UNAONA TOFAUTI GANI KATIKA PICHA HIZI? tAZAMA UBEBAJI MABEGI/POCHI
Hapana chezea Diamond
View ArticleWEMA SEPETU: "NAWEZA KUWA MBUNGE BORA"
Wema Sepetu ameeleza sababu 5 za yeye kuweza kuwa Mbunge bora kabisa baada ya kutangaza nia yake ya kutafuta nafasi hiyo ya uwakilishi kupitia CCM – Viti Maalum mkoani Singida. Zifuatazo ni sababu hizo...
View ArticleMCHEPUKO SIO DILI
Tazama picha hii, ingekutokea wewe siku ya harusi yako ingekuwaje hapo? Sipati picha!!
View ArticleKUDUMISHA MILA
Mhe.Uhuru Kenyatta,Rais wa Jamhuri ya Kenya akila nyama choma. Hii ni alama ya kutumisha utamaduni wetu. Tusione aibu kudumisha mila njema tulizorithi kwa wazee wetu.Wakati huo huo mtangaza nia ya...
View ArticleMHE LOWASSA AKAMILISHA ZOEZI LA KUTAFUTA WADHAMINI HUKO MOROGORO
Wakati huo huo inasemekana kuwa...Waziri Mkuu mstaafu, Monduli, Edward Lowassa ametajwa kuongoza katika kutaja vipaumbele vya maendeleo ikiwamo kupunguza tatizo la Ajira nchini na kuinua Elimu,...
View Article