WATANGAZA NIA CCM WALIORUDISHA FOMU LEO
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (katikati), akikabidhi fomu za kuomba kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Naibu Katibu...
View ArticleSIMBA S.C YAZINDUA KADI YA UANACHANA YA KISASA
Afisa MtendajiMkuuwa EAG Group Imani Kajula Rais wa Simba Sport Club Evans Aveva Pamoja na Makamu wa Rais wa Club ya Simba Geofrey Nyange ‘Kaburu Wakiwa wameshika Mfano wa Kadi ya Club Hiyo...
View ArticleRAIS KIKWETE AZINDUA KIWANDA
mhe Rais Kikwete na Waziri Mkuu wa Ethiopia Mhe, Hailemariam Desalegn wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi,kuzindua Kiwanda cha kutengeneza viuadudu vya kuua vijidudu vya mbu wanaosababisha malaria...
View ArticleKUDUMISHA MILA
Mhe. Reginald Mengi akimtambulisha mkewe Jackline Ntubhaliwe Mengi huko Mererani, ambapo pamoja na zawadi nyingi walipenda mbuzi wa ndafu.
View ArticlePOMBE SIO CHAI
Jamani nyie si mnakunywaga maziwa?. Imekuwaje tena na vitu hivi. Waachieni wenyewe wenye ubavu navyo teh teh teh
View ArticleMAPENZI: INAUMA LAKINI NDO UKWELI. USIJIRAHISISHE,CHUKUA HATUA
Makosa wanayofanya kinadada wengi siku hizi:1. Kuishi na mwanaume ambaye ajakutolea mahari au kukuoa. Hii inachoma lakini ndio ukweli wenyewe. Usiwe mjinga 2. Kukubali kuwa mke wa pili. Samahani sana...
View ArticleKIKAO CHA KAMATI KUU CCM KUANZA DODOMA LEO
Mwenyekiti wa CCM mhe.rais Kikwete na wajumbe wengine wa Kamati kuu ya CCm wamekutana Dodoma leo kuanza kikao cha kamati kuu ikiwa na mambo mengi ya kupitia likiwemo suala la kuangalia Ilani ya...
View ArticleSABASABA YAFANA
Jaji Mkuu wa Tanzania atembelea mabanda mbalimbali yaliyopo Uwanja wa Maonyesho ya Sabasaba Darwateja wakipata huduma katika banda la Fast jet
View ArticleKIKAO CHA KUMPITISHA MGOMBEA WA MGOMBEA URAIS CCM: MKUU WA MKOA WA DODOMA...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAAMkoa wa DodomaAnwani ya Simu REGCOMSimu Nambari: 2324343/2324384E-Mail No. ras@dodoma.go.tzFax No. 255 026...
View ArticleDIAMOND PLATNUMZ APAGAWISHA SINGIDA
Mbunge wa Singida Mhe.MO Dewji amefanya Mkutano mkubwa na wanajimbo wake katika kuwaelezea mafanikio na utekelezaji wa Ilani ya Chama katika kipindi cha Uongozi wake. Pia alimualika msanii Diamond...
View ArticleBAGAMOYO - DAR MAWASILIANO YA USAFIRI YAKATIKA KWA MUDA
Watoto wa shule ya msingi wamelala barabarani baada ya mwenzao mmoja kugongwa na gari na inasemekana amefariki dunia, hvyo kuanzia Bunju A Bunju B kuendelea ni balaa hata baiskeli hakuna wameshika...
View ArticleMHE RAIS KIKWETE AWAAGA RASMI WABUNGE NA KULIVUNJA BUNGE HAPO JANA JIJINI DODOMA
Mheshimiwa rais Kikwete hapo jana alihutubia Bungeni Dodoma ambapo aliwaaga rasmi kama Rais wa nchi na pia kulivunja rasmi Bunge mpaka hapo Uchaguzi mkuu utakapoisha Oktoba 2015.Mhe.Rais Kikwete na...
View Article