DR.MAGUFULI ALIKOTOKA NI MBALI
Alizaliwa mwaka October 29 1959 kwahiyo umri wake ni miaka 55 akiwa na headlines nyingi za uongozi alioanza nao mwaka 1995 alipokuwa pia naibu waziri wa kazi na leo hii ndiye mgombea Urais wa Tanzania...
View ArticleAZAM FC YATWAA UBINGWA KOMBE LA CECAFA. WAIPIGA GOR MAHIA YA KENYA 2-0
Timu ya AZAM FC ya jijini Dar imetwaa kombe la CECAFA maarufu kama Kagame Cup kwa kuichapa Gor Mahia ya Kenya kwa mabao 2-0. Walikabidhiwa kombe hilo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe.Meck Sadiki...
View ArticleMANCHESTER UNITED FC YATAMBULISHA JEZI ZAKE MPYA 2015/2016
Baada ya miaka 13 ya matumizi ya jezi za Nike, Manchester United sasa imeamua kuzindua jezi mpya zitakazotumika katika msimu wa 2015/2016. Man United watatumia jezi zitakazokuwa zinatengenezwa na...
View ArticleCCM: DKT MAGUFULI KUCHUKUA FOMU YA URAIS NEC KESHO
MGOMBEA mteule wa urais kwa tiketi ya CCM,Dk. John Magufuli, kesho Jumanne, Agosti 3, 2015, atatinga Tume ya Taifaya Uchaguzi, kuchukua fomu ya kuomba kugombea Urais katika uchaguzimkuu utakaofanyika...
View ArticleMKUTANO MKUU CHADEMA WAWAPITISHA.....
Mkutano Mkuu wa Chadema kwa pamoja umempitisha Mwanasiasa Edward Lowassa kama mgombea Urais na Juma Haji Duni kuwa mgombea Mwenza katika uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 25 oktoba 2015. Katika...
View ArticleHATA YESU ALIKUMBATIWA NA MFUASI WAKE,LAKINI.............
Saa chache baada ya Profesa Ibrahim Lipumba kutangaza kujiuzulu wadhifa wa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), ametoweka nchini. Hata hivyo, haikufahamika mara moja amekwenda nchi gani na atakaa...
View ArticleProf Lipumba ajiuzulu rasmi uenyekiti CUF
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama Cha Wananchi (CUF),Profesa Ibrahim Lipumba amejiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa chama hicho leo majira ya saa 5 asubuhi katika Hoteli ya Peacock jijini Dar es Salaam....
View ArticleWASANII WAMUAGA RASMI MHE. RAIS KIKWETE
Meza kuu katika Hafla iliyoandaliwa Mlimani City Dar es Salaam kwa ajili ya kumpongeza na kumuaga shujaa wa wasanii Mhe. Rais jakaya Mrisho Kikwete.Mhe Rais Kikwete akikabidhiwa zawadi ya picha yake na...
View ArticleWOSIA WA BABA KUHUSU NDOA
MWANANGU MPENDWA, NAOMBA UNISIKILIZE VIZURI KABLA HUJAOA..1. Mwanangu, mwanamke anaweza kuwa mkeo, mwingine anaweza kuwa mama wa watoto wako, lakini ukipata mwanamke ambae atakuwa kama mama kwako, mama...
View ArticleGESI KUSAFIRISHWA KWENDA DAR WIKI CHACHE ZIJAZO
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC), James Mataragio amesema kuwa gesi asilia itaanza kusafirishwa kwa njia ya bomba kutoka Mtwara kuelekea Dar es Salaam, baada ya siku...
View Article