SERIKALI YA MAGUFULI KUPUNGUZA WIZARA, KUBANA MATUMIZI
Siku chache baada ya kufuta safari za vigogo nje ya nchi,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Magufuli anakusudia kufyeka wizara 8 miongoni mwa 28 zilizopo sasa ili kubana matumizi.Hatua...
View ArticleMBIO ZA USPIKA WA BUNGE ZAANZA
Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta akizungumza na Katibuwa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni, Ndugu Mohamed Seif Khatib mara baada ya kuchukua fomu ya kuwania...
View ArticleSASA OFISI YA RAIS NI YAKO RASMI
Rais Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono kwa furaha na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete aliyefika Ikulu jijini Dar es salaam kukabidhi rasmi Ofisi ya RaisRais Dkt John Pombe...
View ArticleMHE.ANNA MAKINDA: SITAGOMBEA KUWA SPIKA WA BUNGE LA 11
Aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Anne Makinda akizungumza na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam kuhusiana na kuachana na...
View ArticleKUMBE WALIKOTOKA PAMOJA NI MBALI.
Inaelekea kipindi chote walikuwa na lao moyoni.Wakiwa CCMWakiwa UKAWA(CHADEMA)
View ArticleDUNIA YALAANI TUKIO LA UGAIDI PARIS: RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA POLE
Rais John Magufuli amemtumia salamu za pole Rais wa Ufaransa François Hollande, kutokana na mashambulizi ya kigaidi yaliyogharimu vifo vya watu 127. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wizara ya mambo...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE.SAMIA SULUHU AONGEA NA VIONGOZI WA DINI MJINI DODOMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi wa Kamati ya Mahusiano ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Dodoma, wakati alipokutana nao kwa mazungumzo...
View ArticleMHE.JOB NDUGAI: SPIKA MPYA WA BUNGE LA 11 LA TANZANIA
MATOKEO:- 1. Job Ndugai CCM - kura 254 au 70% 2. Ole Medeyi Chadema kura 109 wengine wote wameishia kupata 0 au 0%, kwa hiyo Mh. Job Ndugai ndiye Spika mpya wa Bunge la Awamu ya Tano
View ArticleMHE.KASSIM MAJALIWA APITISHWA KUWA WAZIRI MKUU WA AWAMU YA TANO WA TANZANIA
WAZIRI Mkuu mteule wa Serikali ya Awamu ya Tano, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa amesema hakutegemea nafasi ya jina lake kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kushika wadhifa wa nafasi...
View ArticleMHE. DK.TULIA ACKSON MWANSASU ACHAGULIWA KUWA NAIBU SPIKA WA BUNGE LA 11 LA...
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamemchagua Mhe.Dkt. Tulia Akson kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa Naibu Spika wa Bunge la 11 baada ya kumshinda mpinzani wake kutoka Chama cha...
View ArticleWAZIRI MKUU MH.MAJALIWA KASSIM MAJALIWA AAPISHWA RASMI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akimuapisha Kassim Majaliwa Kassim kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania baada ya uchaguzi Mkuu uliofanyika hivi karibuni, hafla ya kiapo...
View ArticleAGIZO LA RAIS MAGUFULI KUHUSU MSAADA MUHIMBILI LAANZA KUTEKELEZWA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongea na wabunge na wageni waalikwa kwenye mchapalo muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma...
View Article