Quantcast
Channel: KARIBU NYUMBANI
Browsing all 2089 articles
Browse latest View live
↧

KAZI IPO

Video hii yaonyesha maamuzi ya Mhe.Rais Kikwete kuhusu Sherehe za Uhuru wa Tanzania hapo dec.9 mwaka huuKwa mujibu wa Sheria ya Sikukuu za Kitaifa (The Public Holidays Act, Cap 35) pamoja na Sheria...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MILION 90 HAZITOSHI KUNUNUA GARI

Mbunge anayedai leo kuwa milioni 90 hazitoshi kununua gari ya maana kufanyia kazi zake za kibunge, basi, wapiga kura waliomchagua mbunge kama huyo wajihesabu wamekula hasara, ama kwa lugha ya mitaani '...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PAPA FRANCIS AITEMBELEA KENYA

Rais Uhuru Kenyatta akisalimiana na kumpokea Kiongozi wa kanisa la katoliki duniani Papa Francis muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa JKIA nchini Kenya

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MHE.MAJALIWA AFANYA ZIARA BANDARI NA KUTOA MSIMAMO

Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa leo ameamuru kukamatwa kwa maafisa kadhaa wa Mamlaka ya Mapato (TRA) na wengine kufukuzwa kazi baada ya kufanya ziara ya kushtukiza Bandarini na kukuta madudu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHNA MKUU TRA AFUTWA KAZI

Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania, Mh. Dkt John Pombe Joseph Magufuli amemsimamisha kazi kuanzia jana tarehe 27 Nov. 2015, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ndugu Rished Bade...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPA KAZI TU

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATUNI ZA LEO: KUTUNDUA MAJIPU KAZI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mhe.RAIS MAGUFULI NA MHE.WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA WAMTEMBELEA MAKAMU WA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, (kushoto) akizungumza na Makamu wake, Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati) na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, wakati Rais na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPANUZI WA BARABARA YA MWENGE-MOROCCO KWA KUTUMIA PESA ZA SHEREHE UA UHURU 2-15

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameamuru fedha zilizopaswa kutumika kugharamia shamra shamra za siku ya Uhuru ambazo zingefanyika tarehe 09 Desemba 2015, kutumika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYOTA YA RAIS MAGUFULI YAANZA KUNG'AA KIMATAIFA

Gazeti kubwa la Australia,The Courier-Mail limeandika makala ndefu likimtaka Waziri mkuu wao, Malcolm Turnbull ajifunze achapakazi toka kwa Rais wa Tanzania,Dr John Pombe MagufuliAidha, Mtandao mkubwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

"VAENI BEJI ZENYE KUONYESHA MAJINA YENU" ASEMA MHE.BALOZI SEFUE

Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Ombeni Sefue ameendelea kuwasisitiza watumishi wa Umma kuvaa beji zinazowatambulisha majina yao wanapokuwa katika maeneo ya kazi.Mhe. Balozi Sefue aliutoa mwito huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHE. RAIS MAGUFULI AONGEA NA VIONGOZI WA SEKTA BINAFSI NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wadau wa Sekta Binafsi na kuwaahidi kuwapa ushirikiano mkubwa kwani anatambua mchango wao katika ukuaji wa uchumi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USHAURI KUHUSU NDOA

1: Usioe kwa sababu umechoka kula kwa mama lishe>>Mke sio mpishi kama umechoka kula kwa mama lishe jifunze kupika.2: Usioe kwa sababu umechoka kufua na kupika >>Mke sio housemaid, kama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ADA SHULE BINAFSI 2016

ADA 2016: Shule binafsi zimekatazwa kuongeza ada mwaka wa masomo 2016 hadi "Ada Elekezi" itakapotolewa, Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo Profesa Sifuni Mchome asema.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIMU HII HAINA MPINZANI

Rais John Magufuli leo ametimiza mwezi mmoja tangu alipoapishwa kushika wadhifa huo huku akiweka rekodi ya kuokoa kiasi cha Sh997.4 bilioni (karibu Sh 1trilioni) ambazo zilikuwa zitumike kwa matumuzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK.KIKWETE AMTAMBULISHA MHE SAMIA SULUHU MAKAMU WA RAIS KWA RAIS WA CHINA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan (mwenye kitambaa cheupe) akiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China (China-Africa Forum)...

View Article

VIDEO: TATHMINI YA MWEZI MMOJA WA MHE. RAIS MAGUFULI MADARAKANI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAKATA LA KODI TRA: TAASISI ZA DINI NAZO ZAANZA KUBANWA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UBUNIFU:FAHARI YA TANZANIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKU YA USAFI KITAIFA IMETEKELEZWA VIZURI

Mhe.rais Magufuli awa mfanoMakamu wa Rais Mhe.samia Suluhu aonyesha mfano kwa kuzingatia usafi.Mhe.waziri Mkuu Kassim Majaliwa nae ashiriki zoezi la usafi kikamilifuRais Mstaafu mhe.Jakaya Kikwete na...

View Article
Browsing all 2089 articles
Browse latest View live