BARAZA LA MAWAZIRI< SERIKALI YA AWAMU YA 5 YA MHE.MAGUFULI
Mhe.Rais magufuli akiwa pamaja na Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu na Waziri mkuu mhe.Kassim Majaliwa alipokuwa akitangaza Baraza lake la Mawaziri
View ArticleMHE PROFESA MUHONGO AJIBU
WAKATI wapinzani wakipinga uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, waziri huyo amewasihi wananchi kumvumilia kidogo, ili baada ya muda mfupi atoe mpango wa maendeleo ya wizara...
View ArticleWAZIRI WA KILIMO MIFUGO NA UVUVI AANZA NA SOKOMOKO LA MVOMERO
Mkulima mmoja ameuawa, mwingine amejeruhiwa wakiwemo askari polisi wawili kwenye mapigano dhidi ya wafugaji wa kimang’ati kwenye kijiji cha Dihimba Turiani, mkoani Morogoro. Mkuu wa Wilaya ya Mvomero,...
View ArticleWAZIRI MHE JENISTA MHAGAMA APOKELEWA WIZARANI KWAKE
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Desemba 14, 2015 baada ya kuwasili ofisini kuanza kazi . Kushoto ni Naibu...
View ArticleWAZZIRI MKUU MHE.MAJALIWA AFANYA KIKAO NA MAWAZIRI/MANAIBU MAWAZIRI WAPYA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mawaziri na Naibu Mawaziri katika kikao cha kwanza cha kazi cha Baraza la Mawaziri alichokiitisha Ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 15, 2015. (Picha...
View ArticleMHE.RAIS MAGUFULI APANGUA SAFU YA TAKUKURU
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Dr. Edward Hoseah
View ArticleVIDEO: MHE RAIS MAGUFULI ASEMA FEDHA KWA AJILI YA ELIMU BURE ZIMESHAPATIKANA
Ila picha hii ya mwanafunzi darasani inanifikirisha sana. Je wewe?
View ArticleKOCHA JOSE MOURINHO WA CHELSEA ATUPWA NJE
Meneja wa klabu ya Chelsea ya Uingereza amefutwa kazi baada ya klabu hiyo kuandikisha msururu wa matokeo mabaya. The Blues walishinda Ligi ya Premia msimu uliopita
View ArticleHAPA KAZI TU YASHIKA KASI KWA MAWAZIRI NA MANAIBU MAWAZIRI WA MHE.JPM
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla amefanya ukaguzi wa kushtukiza katika ofisi za wizara hiyo kwa kusimama getini kuzuia wafanya kazi wote wa...
View ArticleMRADI WA UDART KUANZA KUTOA HUDUMA MUDA WOWOTE
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikagua eneo la karakana ya mabasi yaendayo haraka UDART iliyopo enero la Jangwani jijini Dar es salaam wakati alipofanya ziara ya kukagua mradi huo Desemba 19, 2015.
View ArticleMHE.MAALIM SEIF AFANYA MAZUNGUMZO NA MHE RAIS MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akisalimiana na aliyekuwa mgombea urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif, leo Ikulu jijini DarMaalim Seif Sharif, Dkt. John Pombe...
View Article