DARAJA LA KIGAMBONI
Picha za Ujenzi wa Daraja la Kigamboni Ulipofikia Kwa Sasa....Siku si Nyingi Litaanza Kutumika Ambapo badala ya Kupanda Kivuko sasa unaweza kwenda kutoka kigamboni au kwenda kwa gari yako au miguu bila...
View ArticleKATUNI YA LEO
Inaakisi tatizo kubwa lililopo katika jamii. Watendaji kuwa mbali na wananchi. Na wakati mwingine hata kwenye mazungumzo ya ana kwa ana. Ubwana na Ubibi shamba sio kazi za kwenda eneo la tukio na...
View ArticleSHOPPInG YA XMAS YAPAMBA MOTO DAR
ZIKIWA zimebaki siku mbili waumini wa dini ya Kikristo duniani kusherehekea sikukuu ya Krismas ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo, baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam, jana kwa wingi wao, wameonekana...
View ArticleNAWATAKIA KRISMASI NJEMA
RAIS Dr John Magufuli ameweka rekodi ya kuwa kiongozi wa kwanza wa kisiasa kubusu mikono ya kiongozi wa dini hadharani ishara inayoashiria upendo kwa viongozi hao wa dini ambao hufanya kazi kubwa ya...
View ArticleXMAS DAR ES SALAAM BILA KWENDA BEACH HAIONOGI
Basi sisi tumeamua kutengeneza swimming pool yetu
View ArticleMHE RAIS WA ZANZIBAR DR.SHEIN AWAKILISHA TAARIFA YA HATUA YA MAZUNGUMZO KWA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimlaki Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein Ikulu jijini Dar es Salaam jana Desemba 26,...
View ArticleMAWAZIRI WAPYA 4 NA NAIBU WAAPISHWA
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mh. Profesa Makame Mbarawa Ikulu, ambapo amewapisha mawaziri watano kujaza nafasi za mawaziri...
View ArticleBOMOA BOMOA BONDE LA JANGWANI DAR
Baadhi ya wananchi wakiwa wamesha bomoa nyumba zao zilizo katika Bonde la mto Msimbazi, mtaa wa Magomeni Sunna jijini Dar es salaam, kabla ya serikali kuanza kuzibomoa nyumba hizo ifikapo tarehe 5...
View ArticleHONGERA SANA MASANJA MKANDAMIZAJI
Masanja Mkandamizaji:"Macho ya kibinadamu yanaweza kusema sistahili lakini yupo Mungu ambaye hutustahilisha sote muda atakao na kwa haki".
View Article