KATUNI YA LEO YENYE UJUMBE
Ni wikiendi, ni wakati wa kupumzika na kupata burudani. Mbwana Samatta ametupa wikiendi murua Watanzania. Ametuletea heshima kubwa. Msanii hapa anaweka pia angalizo, kuwa kwenye furaha na burudani hii...
View ArticleMHE.RAIS MAGUULI AMJULIA HALI MHE.SUMAYE
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Freredick Sumaye na Mama Esther Sumaye alipokwenda kumjulia hali katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete katika hospitali ya...
View ArticleMHE.RAIS MAGUFULI AIFARIJI FAMILIA YA MWL.NYERERE KUFUATIA KIFO CHA...
Bi Leticia Nyerere akiwa Bungeni Dodoma enzi za uhai wake#################################################################################################Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt....
View ArticleVIDEO:MHE.MAALIM SEIF ATOA MSIMAMO KUHUSU UCHAGUZI ZANZIBAR
MGOMBEA KITI CHA URAIS ZANZIBAR KUPITIA TIKETI YA CHAMA CHA WANANCHI CUF MAALIM SEIF muda mchache uliopita amezungumza na waandishi wa habari: Na zifuatazo ni sehemu ya nukuu za kauli alizotoa leo...
View ArticleMCHEZAJI BORA WA DUNIA 2015: LIONEL MESSI
Kura walizopata katika kinyang'anyiro cha Tuzo ya Mchezaji Bora Dunia 20151.Lionel Messi 41.33 %2.Cristiano Ronaldo 27.76 %3.Neymar Jr 7.86 %
View ArticleMAPINDUZI DAY: KWANINI MAPINDUZI,KWANINI MUUNGANO na Majjid Mjengwa
Ndugu zangu,Ningelipenda kuwa Zanzibar katika siku kama ya leo. Ningelipenda kuwa Zanzibar siku kama ya leo miaka 52 iliyopita.Ndio, usiku wa kuamkia leo, miaka 52 iliyopita, yaani, Januari 12 , 1964,...
View ArticleSHEREHE ZA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Mwamunyange katika kilele cha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya...
View ArticleFAST JET YAANZA SAFARI ZA DAR-NAIROBI
Mkurugenzi asiye mtendaji wa kampuni ya ndege ya Fastjet Balozi Ami Mpungwe, akizungumza na wasafiri wakati wa kuanzisha safari za ndege hiyo kwenda Nairobi kutokea uwanja wa ndege wa kimataifa wa...
View ArticleMHE.RAIS MAGUFULI JANA APANDA NDEGE KWA MARA YA KWANZA KAMA RAIS
Wakati, Rais John Magufuli, akifikisha siku ya 70 ofisini leo tangu kuapishwa kwake Novemba tano mwaka jana,imebainika kuwa mpaka sasa amepanda ndege mara moja tu na kutoka nje ya jiji la Dar es Salaam...
View ArticleELIMU HAINA MWISHO, MAPENZI YA KWELI HADI KIFO.
Picha hizi ni kielelezo kizuri cha ukweli huo hapo juu.
View ArticleMHE LOWASSA AIBUKA
Magazeti ya leo yamepamba habari za Lowassa.Aliekuwa Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akizungumza na...
View ArticleWIZARA YA AFYA YATOA MSIMAMO KWA WAGANGA TIBA MBADALA
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akitoa uamuzi wa Serikali kuhusu Serikali kuhusu Tiba Asili na TibaMbadala katika mkutano wa waandishi ulifanyika leo kwenye...
View ArticleMATOKEO YA KIDATO CHA PILI YAMETOKA
Kuona matokeo bonyeza link hii: http://www.necta.go.tz/matokeo/ftna2015/html/index.htmBaraza la mitiani NECTA limetangaza Matokeo ya kidato cha 2 kwa wanafunzi waliofanya mtihani mwaka jana ambapo...
View Article