TASWIRA YA DARAJA LA KISASA LA KIGAMBONI DAR
Daraja hili lililoanza kujengwa mwaka 2012 kwa Ushirikiano wa Mfuko wa NSSF na Kampuni za China,linatarajiwa kukamilika ujenzi wake mwaka huu. Lina urefu wa mlalo wa kadirio la kilomita 2 likiunganisha...
View ArticleMHE.PAUL MAKONDA (DC) AONYESHA UCHAPA KAZI WAKE
Mh.Paul Makonda akizungumza na Clouds Fm katika kipindi cha Jahazi anasema tarehe 5/1/2016 ujenzi wa shule 7 katika wilaya ya kinondoni ulianza na amezindua kampeni ya kuchangia ujenzi wa shule Saba za...
View ArticleMEYA WAPYA KINONDONI NA ILALA DAR WAPATIKANA
Wafuasi wa Ukawa wakimpongeza Boniface Jacob (aliyesimama mbele) baada ya kushinda umeya wa Kinondoni.Hatimaye leo uchaguzi wa meya wa halmashauri wa Kinondoni jijini Dar es Salaam umefanyika ambapo...
View ArticleTCRA WATUMBUA MAJIPU VITUO VYA REDIO NA TV
Mamlaka ya Mawasiliano TCRA imevifungia vituo 21 vya Radio na 6 vya TV kikiwemo kituo cha Star TV, Radio free Afrika, Kiss Fm na Uhuru FM kwa kushindwa kulipa kodi ya lesseni kwa wakati ..Akitangaza...
View ArticleKASI YA MHE RAIS MAGUFULI YAANZA KUGUSA MAISHA YA NYUMBANI
Kwa baadhi ya watu ambao walikuwa wamejijengea hali fulani ya maisha bila misingi imara,hali imeanza kugeuka.
View ArticleKAMPUNI YA KONYAGI YAFANYA TAMASHA LA KUONJA WINE INAZOTENGENEZA
Kampuni ya Konyagi ambayo ni kampuni tanzu ya TBL Group hivi karibuni iliandaa tamasha la kuonja vinywaji vya wine vinavyotengenezwa na kampuni hiyo yenye makao makuu yake jijini Dar es Salaam.Tamasha...
View ArticleBODABODA: HII SASA MMEPITILIZA
Linapokuja suala la usafiri wa haraka na uhakika,bodaboda zimekuwa na mchango mkubwa sana, ila kwasasa ukiukwaji wa sheria hasa usalama limekuwa kubwa. Ni muhimu kuzingatia usalama wa abiria kwa vigezo...
View ArticleDKT.MAGUFULI: RAIS WA MANENO NA VITENDO
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akionesha umahiri wake wa kutumia Cherahani na kushona nguo za wafanyakazi wakati alipofanya ziara ya kutembelea na kuvifahamu vitengo mbalimbali vya Ikulu jijini...
View ArticleADHA YA MVUA JIJINI DAR
MFANYAKAZI: samahani Boss leo sitaweza kuja kazini maana ninapoishi maji yamejaa kila mahala hakuna pa kupita. Nipo kama kisiwani hapa.BOSS: Nakumbuka ulipokuwa unaomba kazi uliorodhesha moja ya vitu...
View ArticleZIARA RASMI YA KWANZA YA KIKAZI MIKOANI YA MHE.RAIS MAGUFULI
Rais John Magufuli anatarajiwa kuwasili mkoani hapa leo kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. Hii ni ziara yake ya kwanza tangu alipoapishwa kushika wadhifa huo Oktoba 25, mwaka jana.Maandalizi ya...
View ArticleWIZARA YA ELIMU YAFUTA MFUMO WA "GPA" NA KURUDISHA "DIVISION"
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako amefuta mfumo wa matokeo ya GPA kwa wanafunzi wa kidato cha nne, sita na ualimu na kurudisha ule wa zamani wa...
View ArticleAMIRI JESHI MKUU WA TANZANIA MHE.RAIS MAGUFULI KATIKA UBORA WAKE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wananchi wa Kisongo nje kidogo ya jiji la Arusha waliojitokeza kumsalimia wakati akielekea Monduli kwa ajili...
View ArticleUCHAGUZI ZANZIBAR KURUDIWA 20 MACHI, 2016
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imetangaza tarehe ya marudio ya uchaguzi visiwani humo baada ya matokeo ya uchaguzi uliopita kufutwa.Uchaguzi huo sasa utafanyika Jumapili tarehe 20 Machi.Tangazo hilo...
View ArticleVIDEO: MAGWANDA ALIYOVAA MHE DK. MAGUFULI YATOLEWA UFAFANUZI
Baada ya watu kadhaa kuzusha minong'ono juu ya Mavazi rasmi ya kijeshi aliyokuwa amevaa mhe Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania,Dk.John Magufuli alipokuwa njiani Arusha kuelekea Monduli juzi, yametolewa...
View Article