PESA JAMANI PESA!
A dog died and the owner went to his pastor and asked, "Pastor, my dog is dead, could there be a service for the poor creature?" Pastor replied, "No, we can't have a service for an animal in the...
View ArticleFLYOVER YA TAZARA UJENZI WAKE KUANZA RASMI SASA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi na kuanza kwa ujenzi wa mradi wa barabara ya juu Tazara Jijini Dar es Salaam.
View ArticleUTEUZI BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI JAPAN
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteuaMheshimiwa Mathias Meinrad Chikawe kuwa Balozi wa Tanzania nchini Japan.Taarifa iliyotolewa leo...
View ArticleWATANZANIA KUJENGE TABIA YA USAFI WA MAZINGIRA YETU
Taswira ya Usafi wa Mji wa Kigali nchini Rwanda.Taswira ya mazingira ya usafi Jiji la Dar es Salaam. Hii ndugu zangu ni aibu tubadilike sasa.Hongera nyingi kwa Mji wa Moshi Kilimanjaro kwa kujitahidi...
View ArticleMICHEZO ASILIA YA NYUMBANI
Je upi umeucheza sana?Bao (Limezoeleka sana mazingira ya Pwani na Zanzibar)Mdako (Mchezo huu hupendwa zaidi na watoto wakike)
View ArticleDARAJA LA KIGAMBONI LAZINDULIWA RASMI: KUITWA DARAJA LA NYERERE
Daraja hilo lilipokuwa hatua za mwisho za ujenziMhe Rais John Magufuli akikata utepe kuashiria kufungua rasmi Daraja hili ambalo amependekeza liitwe daraja la Nyerere.
View ArticleMHA:ASKOFU MATHIAS ISUJA WA JIMBO KATOLIKI DODOMA AZIKWA
Mhashamu Askofu Isuja enzi za uhai wakeWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Askofu Mkuu wa Jimbo la Dodoma , Beatus Kinyaiya katika mazishi ya Askofu Mstaafu wa Dodoma Mathias Isuja yaliyofanyika...
View ArticleMREMA AENDELEA KUOMBA MHE RAIS MAGUFULI AMPE KAZI ILI AMSAIDIE KUTUMBUA MAJIPU
Mwenyekiti wa taifa wa Chama cha TLP na aliyekuwa mgombea Ubunge wa jimbo la Vunjo, Agustino Mrema anatarajia kusafiri kuja jijini Dar es salaam kwa lengo la kumpongeza Rais Magufuli na kumkumbusha...
View ArticleMHE RAIS MAGUFULI AWASHUKURU VIONGOZI WA NGAZI MBALIMBALI CCM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na Viongozi wa mikoa na wilaya wa Chama Cha Mapinduzi kutoka Tanzania Bara na Visiwani Zanzibar ambapo aliwashukuru kwa kazi...
View ArticleMALKIA ELIZABETH II WA UINGEREZA ATIMIZA MIAKA 90 YA KUZALIWA
Tar 21 Aprili 2016, Malkia Elizabeth II wa Uingereza aliadhimisha Miaka 90 ya kuzaliwa. Huyu ni Malkia aliyedumu muda mrefu katika kiti hicho cha Umalkia. Alizaliwa 21 Aprili 1926, akawa Malkia wa...
View ArticleKINADADA WA KITANZANIA KWANINI HAMJIKUBALI?
Binadamu tumeumbwa kwa sura na mfano wa Muumba (Kwa imani za kidini). Ni kawaida kwa kinadada kujiremba na kujitunza maana ndio silka yao. Lakini unapozidisha kujiremba unageuka kituko maana Waafrika...
View ArticleMTOTO WA KIKE WA KITANZANIA ATIA FORA UMOJA WA MATAIFA
Mtoto Mtanzania mwenye umri wa miaka 16 Getrude Clement kutokea Mwanza amehutubia mbele ya viongozi mbalimbali wa dunia kwenye mkutano wa umoja wa mataifa akiwa mwenye kujiamini na kutoonekana kuwa na...
View ArticleMWALIMU NYERERE NA SOKA LA TANZANIA
Mwalimu Nyerere alikuwa mpenzi sana wa Soka la Tanzania, hadi pale mwaka 1972 Timu ya Soka ya Tanzania ilipoingia uwanjani bila tshirt na kukaguliwa na kusalimiana na Rais wa Sudan Mhe. Jaffar Mohammad...
View Article